Kazi ni msingi wa maisha, hapa nikiwa ofisini nawajibika.

Nikiwa katika mafunzo ya mtandao (Border Gateway Training)

Hali ya hewa safi sana, ni mwaka 2007 huo mwili ukiwa bado uko vizuri lakini sasa mhh...